INFORMATION ABOUT JOB
EMPLOYER: Parliament of Tanzania
![]() |
| Image Source: Google |
POST AFISA UGAVI DARAJA LA II - 2 POST
APPLICATION TIMELINE: 2022-06-11 2022-06-24
JOB SUMMARY
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (Schedule of Requirements);
- Kuandaa utaratibu wa upokeaji wa vifaa;
- Kukusanya na kutunza takwimu za upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa. Kusimamia upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa (Physical Distribution);
- Kubuni mfumo wa uwekaji na utunzaji wa vifaa ghalani (Location Index Design);
- Kuandaa taarifa mbalimbali za vifaa;
- Kuhesabu na kutoa taarifa ya thamani ya vifaa vilivyomo ghalani kwa kufuata taratibu zilizopo;
- Kuandaa hati za kupokelea vifaa;
- Kutoa vifaa kwa watumiaji (Distribute goods to User department and other users); na
- Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Mwombaji awe na Shahada/Stashahada ya juu ya Ununuzi/Ugavi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali AU awe na "Professional level Ill" inayotolewa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi nchini (Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board - (PSPTB) au sifa nyingine inayolingana na hiyo inayotambuliwa na PSPTB, ambaye amesajiliwa na PSPTB kama "Graduate Procurement and Supplies Professional".
